SOGEA KARIBU TUJIFUNZE Zifuatazo ndio njia za kuweza kuzibiti matumiz yasio kuwa ya lazima 1.usianze siku pasipo kuwa NA bajeti kamili ya siku hiyo. 2.usibebe pesa nyingi wakati unaenda kununua kitu cha pesa kidogo.mfano unaenda kunua kitu cha sh.20000 Una beba sh.50000. MENGINE TUTAENDELEA.